Les Twins

Hawa ni Les Twins

Laurent na Larry Nicolas Bourgeois (wanajulikana kama Les Twins; walizaliwa 6 Desemba 1988) wenye urefu wa futi 6'4" (sm 193) ni wachezaji wa densi wa Ufaransa. Mara nyingi hujulikana kwa majina yao ya utani, "Lil Beast" na "Ca Blaze" hutambuliwa kimataifa kwa talanta zao kwa mitindo mpya ya densi ya hip-hop, na mitindo mbali mbali ya kucheza. Ni ndugu mapacha sawa.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy